Psalms 33:9-11

9 aKwa maana Mungu alisema, na ikawa,
aliamuru na ikasimama imara.
10 b Bwana huzuia mipango ya mataifa,
hupinga makusudi ya mataifa.
11 cLakini mipango ya Bwana inasimama imara milele,
makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.
Copyright information for SwhNEN